1 Samuel 25:34
34
La sivyo, hakika kama
Bwana
, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye amenizuia nisiwadhuru, kama usingekuja haraka kunilaki, hakuna hata mwanaume mmoja wa Nabali angeachwa hai kufikia mapambazuko.”
Copyright information for
SwhKC